SWAHILI USEFUL PHRASES


How are you? - Habari?
How are you all? - Habari zenu?
What’s the news? - Kuna habari gani?
Good morning - Habari za asubuhi?
Good afternoon - Habri za mchana?
Good evening - Habari za jioni?
Good night - Usiku mwema.
What is your name? - Unaitwa nani?
My name is... - Jina langu ni...
Where are you from? - Unatoka wapi?
I come from... - Ninatoka...
Do you speak English? - Unazungumza Kiingereza?
I don’t speak Swahili - Sizungumzi Kiswahili.
I don’t understand - Sifahamu.
How do you say this in English? - Unasemaje kwa kiingereza?
How many? - Ngapi?
How much is it? - Shilingi ngapi?
May I take your picture? - Nikupige picha?
Where is the toilet? - Choo kiko wapi?
I need - Ninataka
I want to buy... - Ninataka kununu...
I like... - Ninapenda...
I love you - Ninakupenda
I don’t like... - Sipendi...
You’re welcome - Karibu
Face - Uso
Eye - Jicho
Head - Kichwa
Arm - Mkono
Finger - Kidole
Nose - Pua
Teeth - Jino